Wednesday, 19 April 2017

tetesi-jezi watakazotumia Yanga msimu wa 2017/2018

Leave a Comment
Imekuwa kawaida kwa vilabu mbalimbali barani Ulaya kuwa na utamaduni wa kutengeneza jezi mpya zenye ubunifu tofauti tofauti kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi za kwao na mashindano mbalimbali yatakayokuwa katika msimu husika.

Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii imeonesha jezi zinazotajwa kuwa ndio jezi mpya zitakazotumiwa na Yanga msimu wa 2017/2018, jezi hizo bado hazijathibitishwa wala kutambulishwa rasmi na uongozi wa Yanga lakini kuna tetesi kuwa ndio zitatumiwa msimu wa 2017/2018.

chanzo chetu kinataarifu kuwa


                                                           hizi zitakuwa jezi za nyumbani


                                                       hizi zitakuwa jezi za ugenini

 
                                                            Hizi zitakuwa jezi za tatu

                                                                                                                                        JAMII VIEWER
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: