Saturday, 11 June 2016

mikakati yaanza Yanga iwe club inayojitegemea

Leave a Comment

Klabu ya yanga leo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wa viongozi mbalimbali katika  nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya mwenyekiti,makamu na wajumbe wa kamati kuu.uchaguzi huo unatarajia kuanza mnamo majira ya saa tano.
 Hapo jana Yusuph Manji aliendelea kutoa ahadi ake nyingi lakini ile ya kuitaka club ya yanga iwe club inayojitegemea liipokelewa vizuri na wana jangwani na wanamichezo wote waliopo Tanzania, kwani kufanya hivyo itakuwa mfano na chachu ya maendeleo ya mpira wa miguu nchini.
Fanya kuponyeza video hii ujione yaliojiri kuelekea uchaguzi huo wa club ya Yanga.
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: