Saturday, 1 October 2016

kupatwa kwa yanga sport club

Leave a Comment
mwaka huu tulishuudia tukio moja ambalo lilitengeneza matukio mengi hapa duniani. tukio la kupatwa kwa jua. likatengeneza kupatwa kwa vitu vingi sana kama kupatwa kwa wanambea, kupatwa kwa friji, kupatwa kwa usiku nk ila leo tumeshuuhudia kupatwa kwa yanga uwanja wa taifa.


leo kulikuwa namchenzo mzuri kati ya miamba ya soka tanzania kati ya yanga sport club na simba sport club. mechi ilianza kwa kushambuliana kwa kushtukiza. Refa wamchezo aliharibu mechi baada ya kukataa goli la simba akizania ni goli lakuotea na pia hakuishia hapo akaliruhusu bao la yanga lililofungwa na Hamisi Tabwe na lilionekana nautata kwasababu aliushika kabwa yakutia mpira pembeni na malalamiko ya mkude kwa mwamuzi kupinga goli hilo hayakusaidia kitu ila alipokea kadi nyekundu kwakutokubaliana na maamuzi ya refa na kuifanya simba kuwa pungufu mchezoni. Hadi mapumziko ubao ulisomeka yanga 1 simba sifuri.
Kipindi chapili simba walikuja na mbinu mpya walicheza mpira safi waliwachachafwa yanga hawakujali upungufu wao uwanjani. walicheza vizuri kiukweli walitimilika kila idara mpaka wakapata goli safi la kusawazisha ambalo lilipokelewa kwa hamasa kubwa kwa wana simba na wapenda michezo kiujumla. JAMII VIEWER ilipatanafasi kuzungumza na baazi ya mashabiki wa simba walisema hili mwaka huu wao ni wakidunia na si tu wakimataifa na kuwa na imani kwamba kombe la ligi kuu bara ni lao

                                                                                                                            JAMII VIEWER
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: