Tuesday, 7 June 2016

Vilaza UDOM wang'ara mashindano ya MTN Africa

Leave a Comment

Tanzania yang'ara katika mashindano ya MTN Africa ambalo lilijumuisha zaidi ya vyuo 100 kutoka Africa, baada ya kundi lililojulikana kama VICOBA APP kuwa moja ya kundi lililoingia fainali ya mashindano hayo

Baada ya mchujo ulioanzia kwenye vyuo vya Tanzania vikiwemo University of Dodoma(UDOM), university of Dar es salaam(UDSM), Mzumbe university, st Joseph university na vinginevyo. JUSICE DONATUS(Computer engineering) na sofia SOFIA MBAGA(Software engineering) kutoka UDOM ndio pekee walioipeperusha Tanzania kwenye mashindano hayo

Wanafunzi hao walitinga kwenye fainali na kuweka idadi ya watu watatu kwenye fainali hiyo ambayo ilikuwa na jumla ya wanafunzi zaidi ya 1000  kutoka nchi 26 za Africa kwenye kinyang'anyiro hicho.

If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: