Thursday, 16 June 2016

Diamond na Ally kiba ndani ya kolabo

Leave a Comment

NA MWANDISHI WETU

Young Killer amedai kutamani kuwashirikisha Diamond na Alikiba kwenye nyimbo zake za usoni.

Akijibu swali la wasanii gani wengine wakubwa wa Bongo anaopenda kufanya nao ngoma, rapper huyo alisema:
Natamani nimshirikishe Diamond kwasababu ni mtu ambaye amefanya vizuri na anainspire, sisi ni wachanaji lakini pia kwa upande mwingine ametuinspire mavideo makali, kafika mbali.

Mtu wa pili nadhani ni Alikiba kwasababu pia ni muimbaji ambaye nampenda anaimba vizuri, muziki wake mzuri. Nilishawahi kusema kuwa Tanzania wasanii ambao wamewahi kunifanya nitoe hela yangu kununua album yao ni Alikiba. Ni mtu ambaye nilikuwa na dream naye ya kufanya naye kazi. Diamond na Alikiba wote nawapenda 50/50.
                                                                                                                    JAMII VIEWER
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: